Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

BREAKING NEWZ KESI YA SCORPION YAHAMISHIWA MAHAKAMA KUU


Na Joseph Peter, Dar es Salaam.

Kesi ya jinai inayomkabili mtuhumiwa Salum Henjewele maarufu kwa jina la Scorpion,limeondolewa katika mahakama ya wilaya ya Ilala na kuhamishiwa katika Mahakama kuu jijini Dar es Salaam, kutokana na ombi lililowasilishwa katika mahakama hiyo na wakili upande wa Mashtaka Munde Kalombora, na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo Mhe. Adelf Sachore na kuridhia.

Usipitwe Taarifa kamili utafahamishwa hapa hapa.

No comments

Powered by Blogger.