Jana oktoba 28 Serikali
imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mwaka 2016
ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza
kitaifa ni shule ya Msingi Kwema iliyopo mkoani Shinyanga.
kwa matokeo zaidi bofya hapa http://necta.go.tz/matokeo/2016/psle/psle.htm
Post a Comment