GAMBO vs LEMA Aluta continua
mapambano ya kisiasa kati ya mkoa Wa arusha Mh Gombo na mbuge Wa arusha mjini Mh. Godbless Lema yanazidi kushika kazi,ikumbukwe wawili hawa wamekuwa katika mvutano wa kisiasa tangu Mh Gombo akiwa ni mkuu wa wilaya katika moja ya wilaya zinazopatikana katika mkoa wa arusha.tazama video hii ujionee mwenyewe.
Post a Comment