Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

LEO NI SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI AMBAPO KITAIFA INAADHIMISHWA MKOANI SHINYANGA

Na Joseph Peter, Dar es Salaam.

Leo ni siku ya kimataifa ya mtoto wa kike duniani ambapo Tanzania inaungana na mataifa mbali mbali katika kuadhimisha siku hii.

Wizara ya afya maendeleo ya jamii,jinsia, wazee na watoto inaadhimisha siku hii kitaifa mkoani Shinyanga hapa nchini huku kauli mbiu kwa mwaka huu ni Mimba na ndoa za utotoni zinaepukika,chukua hatua kumlinda mtoto wa kike.

Kaimu mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya watoto Magreti Mussai amesema kuwa lengo la siku hii ni kuifanya jamii itambue na kuelewa umuhimu wa kutetea haki za mtoto wa kike hususani walio chini ya umri wa miaka 18.

No comments

Powered by Blogger.