Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

USIKOSE KUSIKILIZA REGGAE VIBES KILA JUMAMOSI HAPA TANGANYIKA FM ONLINE RADIO NA JUDAH



Reggae Vibes ni kipindi kinachoruka hewani kila siku ya Jumamosi Kupitia Tanganyika fm Online radio inayorusha matangazo yake kutoka Sinza jijini Dar es Salaam Tanzania amabapo wewe mwanafamilia wa muziki wa reggae na Rasta kiujumla unapata fursa ya kufahamishwa masuala ya Burudani na mafundisho ya kiroho au kiimani pamoja na utamaduni na historia ya Muafrika.

Roots reggae,sweet,ska,reddim,Dance hall ni miongoni mwa rekodi zinazopewa nafasi kupitia kipindi hiki lakini unapata mafundisho juu ya Rasta na utamaduni wake usikose kusikiliza kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 10 kamili jioni ukiwa na Da simple burner to conquer de babylon{judah} au Joseph Peter.

Leo jumamosi oktoba 8 nitakuwa na Ras Gabra{msitu} ambaye ni msemaji wa  muungano wa rastafari yaani Rastafarian United Front{RUF} akielezea kazi na kwa nini wameamua kuunda muungano huu bila kusahau tutazungumzia masuala ya kiimani au kiroho juu ya maana ya rasta hivyo usikose.


Kwa muungano tunaipeleka rasta mbele.

Joseph Peter{judah} da simple burner to conquer de babylon Mtangazaji wa kipindi cha Reggae Vibes.

Jinsi ya kusikiliza Matangazo yetu kutoka popote ulipo bofya link hii http://mixlr.com/tanganyikafm


No comments

Powered by Blogger.