Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt.
Abdallah Possi akisalimiana na baadhi ya wazee wanaoishi katika kambi ya
kulelea wazee ya Rasi Bula mkoani Lindi wakati wa ziara yake kujionea hali
halisi ya kituo hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga akizungumza wakati
wa kikao cha kumkribisha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu)
Mhe. Dkt. Abdallah Possi wakati wa ziara yake Mkoani hapo Desemba 15, 2016.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt.
Abdallah Possi akitoa maagizo kwa baadhi ya watendaji wa Serikali wakati ya
ziara yake Wilayani Lindi alipotembelea shule na Vituo vya kulelea watu wenye
mahitaji maalum.
Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Lindi Bw.Musa Bakari
akizungumza changamoto zao kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi wakati wa ziara yake mkoani Lindi Desemba15,
2016
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt.
Abdallah Possi akiwa katika ziara ya kuangalia mazingira ya Shule ya kulelea
watu wenye ulemavu ya Nyangao mkoani Lindi kulia kwake ni Mwalimu Mkuu wa shule
hiyo Bw.Richard Mponda.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt.
Abdallah Possi akizungumza na baadhi ya walimu wa shule ya msingi ya Nyangao
alipotembelea kuona hali halisi ya mazingira ya wanafunzi wenye wahitaji maalum
Desemba 15, 2016.
Mwalimu wa wasiona shule ya nyangao Bw.Nassoro Kambona akielezea
changamoto wanazokabiliana nazo kazini kwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi (hayupo pichani) wakati wa ziara
yake shuleni hapo.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt.
Abdallah Possi akijibu hoja za wazee wenye ukoma na mahitaji maalum katika
kambi yao ya Nandanga wilayani ruangwa mkoa wa Lindi alipofanya ziara yake
Desemba 15, 2016

Post a Comment