RAIS MAGUFULI AFANYA UAPISHO WA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Rehema Kiwanga
Mkuye kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Sivangilwe
Sikalaliwa Mwangesi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mhe. Jaji
Dkt. Gerald Ndika kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Jackobs
Mwambegele kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na Majaji
wa Mahakama za Rufani leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment