MHE. WAZIRI MKUU AKIFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA RCC MKOA WA DODOMA
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa
akihutubia leo wakati wa kufungua baraza la ushauri (RCC) Mkoa wa Dodoma
ambapo lilishirikisha Wizara,Idara na Wadau mbalimbali wanaoratibu ujio
wa Serikali kuhamia Makao makuu Dodoma Mkutano huo umefanyika katika
ukumbi wa Chuo cha mipango ya Maendeleo Vijijini Dodoma ( Picha na PMO)
Post a Comment