Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

MULTCHOICE WALIVYOMPOKEA MWANARIADHA ALPHONCE SIMBU

Kutoka kulia ni kaimu mkurugenzi wa Multchoice tanzania, Baraka Shelukindo, Waziri wa habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa, mh, Nape nnauye, mwanariadha wa Tanzania aliyeshinda medali ya dhahab katika mbio za marathon huko nchini India hivi karibuni, Alphonce Simbu na katibu mkuu wa shirikisho la riadha Tanzania "RT" william Gida Budai, wakati wa hafla ya kumpongeza mwanariadha huyoiliyofanyika leo Dar es salaam

Waziri Nape Nnauye akiwa na mwanriadha wa Tanzania Alphonce Simbu, wakati wa hafla ya kumkaribisha mwanariadha huyo

Mwanaridha Alphonce Simbu akiwa na katibu mkuu wa RT, William Gida Budai

Meneja uhusiano wa Multchoice, Johnson Mshana akiongea katika hafla ya kumpongeza mwanariadha Alphonce Simbu

Alphonce Simbu akizungumza katika hafla ya kupongezwa baada ya kupata medali ya dhahabu katika mashindano ya mbio za marathon huko nchini India

Baraka Shelukindo, kaimu mkurugenzi Multchoice Tanzania akimkaribisha waziri Nape Nnauye wakati wa hafla ya kumpongeza mwanariadha Alphonce Simbu aliyeshinda medali ya dhahabu

Waziri wa habari, Utamduni , michezo na Sanaa, Nape Nnauye

Waziri Nape Nnauye akizungumza wakati wa hafla ya kumkaribisha mwanariadha wa Tanzania aliyeshinda medali katika mashindano ya mbio za marathon nchini India

Waziri Nape Nnauye akiangalia medali ya mwanariadha Alphonce Simbu

Waziri wa Habari,Utamaduni, michezo na Sanaa, akipokea medali toka kwa mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu

Baraka Shelukindo, kaimu mkurugenzi wa Multchoice Tanzania akipokea medali toka kwa Alphonce Simbu katika hafla ya kumkaribisha mwanariadha huyo

Alphonce Simbu akiwa na katibu wa Riadha Tanzania RT, William Gida Budai, wakionyesha medali aliyoipata mwanariadha huyo nchini India kwenye mbio za Marathon

Alpha Mria, meneja masoko wa Multchoice Tanzania akiongea wakati wa kumkaribisha Alphonce Simbu

Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Simbu akionyesha medali aliyoipata katika mbio za marathon huko nchini India
(PICHA ZOTE NA IMANI KELVIN MBAGA wa tanganyika blog)

No comments

Powered by Blogger.