Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

Picha: Hawa ndio wasanii 10 wa Nigeria walio fanya vizuri 2016



kwa mujibu wa mtandao wa   NotjustOK  nchini humo umetoa orodha ya ya wasanii 10 walio fanya vizuri kwa mwaka 2016 kwa kuzingatia vigezo vya utoaji nyimbo nzuri, Idadi ya show za ndani na nje ya nchi, Matangazo, Dili za mikataba na lebo kubwa za muziki, Kukua kwa msanii kutoka wa kitaifa hadi kimataifa.

Ambao ni.

1.Wizkid.



2.Tekno.



3.Olamide.




4.Phyno.


5.Kiss Daniel.

6.Falz.
7.Adekunle Gold.
8.Mr Eazi.
9.Reekado Banks.
10.Davido.

No comments

Powered by Blogger.