POLISI WAKIFANYA UKAGUZI KATIKA KUTUO KIKUU CHA MABASI UBUNGO
Mkaguzi wa Magari wa Jeshi
Polisi , Ibrahim Samwix akikagua basi la leo yenye namba za T 735 DFX
usajili katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa Magari wa Jeshi
Polisi , Ibrahim Samwix akimuonyesha mwaandishi wa blog hii vifaa
ambavyo vilikuwa vibovu katika mabasi ambavyo walileta baina kubaini
makosa hayo leo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa magari wa Polisi
Sajeti , Elisante Bulla akikagua basi la kampuni ya Imo yenye namba za
usajili T 773 CVX ambapo alibaini kukosa mikanda na kuirudisha ndani ya
kituo cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa magari wa Jeshi la
Polisi, Jackson Mafuru akifanya ukaguzi wa basi katika kituo kikuu cha
mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi wa magari wa Polisi
Sajeti , Elisante Bulla akikagua basi la kampuni ya Islam na kubaini
kukosa langi katika mgongo wa basi hilo na kung’o namba za usajili ili
wakapake rangi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es
Salaam.
Sehemu ya mabasi yakisubiri
abiria wa mikoa mbalimbali leo katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo
jijini Dar es Salaam.
Post a Comment