SINGLE ZERO YA TINO ILIVYOITIKISA DAR
| Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wajulikanao kama PA1, wakiwa na wasanii wa vichekezo baba na mama Ashura, kabla wasanii hao hawajaanza kuimba wakati wa uzinduzi wa filamu ya SINGLE ZERO |
| Mkurugenzi wa kampuni ya MAGITA akifurahia jambo wakati wa uzinduzi wa filamu ya SINGLE SIRO |
| PA1 wakiwa jukwaani kunogesha uzinduzi wa SINGLE ZERO |
| Msanii wa Bongo movie, maarufu kwa jina TINO akiwa amekaa na mkewe kuangalia uzinduzi wa filamu ya SINGLE ZERO ambayo yeye mwenyewe ameicheza |
| PA1 wakiendelea kuburudisha |
| Wasanii wa vichekesho wakiburudisha katika usiku wa SINGLE ZERO |
| Miss Kachumbani akiwa ametulia kufuatilia jambo muhimu |
| mke wa msanii wa Bongo movie TINO akifuatilia ratiba ya matukio wakati wa uzinduzi wafilamu ya SINGLE ZERO |
| meneja na mwongozaji wa filamu nchini TIMOTH akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa filamu ya SINGLE ZERO |
(PICHA ZOTE NA IMANI KELVIN MBAGA, Tanganyika blog)
Post a Comment