Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

WAWAKILISHI WA UNEP WAKUTANA NA WAZIRI MAKAMBA

EWO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akisikiliza kwa makini Wawakilishi  kutoka Shirikia La Umoja wa Mataifa linalohusika na Mazingira (UNEP) waliokuja kumtembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.
EWO 1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika mazungumzo na Wawakilishi wa Shirikia La Umoja wa Mataifa linalohusika na Mazingira  (UNEP) pamoja na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais,  Profesa Faustine Kamuzora  mapema hii leo.

No comments

Powered by Blogger.