Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

Kamanda wa polisi kitengo cha usalama barabarani ,MOHAMED MPINGA, amesema vifo vitokanavyo na ajali za barabarani takribani 453 na majeruhi 398 husababishwa na ukosefu wa miundo mbinu.



 Mpinga ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam wakati akihitimisha semina ya kudhibiti ajali za barabarani.


Kamanda wa polisi kitengo cha usalama barabarani ,MOHAMED MPINGA,



Aidha ,Mpinga , amesema kufuatia semina hiyo itawasaidia vijana wengi kutoka mikoa mbalimbali hususani morogoro, Iringa na Kilimanjaro kutapunguza idadi kubwa ya vifo vitokanavyo na ajali za barabarani.

Naye kamishna msaidizi muandamizi wa jeshi la polisi, Fortunatus Musilim ametoa wito kwa vijana wanao tumia vyombo vya moto kufuata sheria za usalama barabarani. 




No comments

Powered by Blogger.