huu ndio unyama Wa walimu maofisin
Kuna kila sababu ya kutazama aina ya malezi ya vijana wetu wanapokuwepo mashuleni maana kuna baadhi ya walimu hawana maadili ya kazi zako
Tazama kijana huyo anavyoadhibiwa na walimu tazama kipigo hicho kisha tafakari kama mzazi je aina hii ya adhabu inarekebisha?aina hii ya walimu wanavumilika?
Tamisemi hawa ndio walimu mnaowaajili na kupitia wizara ya fedha wanalipwa na kodi za watanzania,waziri Wa elimu haya ndio mazingira ya masomo huko shuleni,he ni mazingira rafiki au hatarishi?nategemea kusikia tamko hatabla mkuu Wa while kama waziri Wa elimu atakuwa amebanwa na ratiba.
Post a Comment