UEFA CHAMPIONZ LIGI - DIMBANI JUMANNE: RONALDO, NAPOLI WAWANIA REKODI, GUARDIOLA KUREJEA BARCA!
BAADA ya kupotea kwa Wiki 3, Mechi za Makundi ya UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI, zinarejea tena kilingeni hapo Jumanne na Jumatano Usiku na mvuto ni kuona Cristiano Ronaldo akiwania kuweka Rekodi mpya ya Magoli wakati Napoli ikitarajia kuweka Historian a pia Pep Guardiola akitua Klabu yake ya zamani FC Barcelona.
Kwenye mojawapo ya Mechi za Jumanne, Cristiano Ronaldo anawania kuwa Mchezaji wa Kwanza kufunga Bao 100 katika Mashindano ya Klabu Ulaya.
Jumanne, Real Madrid itaongozwa na Ronaldo kucheza Mechi ya Kundi F dhidi ya Legia Warsaw Uwanjani Santiago Bernabeu na Staa, mwenye Bao 98 Ulaya, anahitaji Bao 2 tu kuweka Rekodi mpya.
Nayo Klabu ya Italy Napoli ipo kizingitini katika kuweka Rekodi mpya ya UCL ikiwa wataifunga Besiktas kwenye Mechi yao ya Kundi B ambayo itachezwa Jumatano huko Italy.
Ikiwa Napoli watashinda Mechi hiyo na Dynamo Kyiv kutoka Sare na Benfica katika Mechi nyingine ya Kundi B, basi Napoli watafuzu kutinga Raundi inayofuata ya Mtoano huku wakiwa na Mechi 3 mkononi na hiyo itakuwa Rekodi Mpya kwa kuwa Klabu ya Kwanza kufuzu hivyo.
Nae Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, ataiongoza UCL-GROUP-E-F17OKTTimu yake hapo Jumatano kutua Nou Camp kucheza na FC Barcelona ambako ndiko alijijengea Jina.
Akiwa na Barca kama Mchezaji, Guardiola alitwaa Ubingwa wa La Liga mara 6 na wa Ulaya mara 1 na alipokuwa Kocha Mkuu alizoa Makombe 14 yakiwemo Mawili ya UCL.
Mara ya mwisho kwa Guardiola kuiongoza Timu nyingine kucheza na Barca huko nou Camp ilikuwa Msimu wa 2014/15 alipokuwa na Bayern Munich na kuchapwa 3-0 kwenye Nusu Fainali ya UCL.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
Ratiba:
Jumanne Oktoba 18
Mechi zote kuanza Saa 3 Dak 45 Usiku
KUNDI E
Bayer Leverkusen v Tottenham
CSKA v Monaco
KUNDI F
Real Madrid v Legia Warsaw
Sporting Lisbon v Borussia Dortmund
KUNDI G
Club Brugge v FC Porto
Leicester v FC Copenhagen
KUNDI H
Dinamo Zagreb v Sevilla
Lyon v Juventus
Jumatano Oktoba 19
Mechi zote kuanza Saa 3 Dak 45 Usiku
KUNDI A
Arsenal v Ludo Razgrad
Paris St Germain v Basel
KUNDI B
Dynamo Kiev v Benfica
Napoli v Besiktas
KUNDI C
Barcelona v Man City
Celtic v Borussia Monchengladbach
KUNDI D
Bayern Munich v PSV Eindhoven
FC Rostov v Atletico Madrid
TAREHE MUHIMU:
MECHI ZA MAKUNDI:
Mechi ya Kwanza: 13 na 14 Septemba
Mechi ya Pili: 27 na 28 Septemba
Mechi ya Tatu: 18 na 19 Oktoba
Mechi ya Nne: 1 na 2 Novemba
Mechi ya Sita: 22 na 23 Novemba
Mechi ya Sita: 6 na 7 Desemba
MECHI ZA MTOANO:
11–12/04/17: Robo Fainali, Mechi ya Kwanza
18–19/04/17: Robo Fainali, Mechi ya Pili
02–03/05/17: Nusu Fainali, Mechi ya Kwanza
09–10/05/17: Nusu Fainali, Mechi ya Pili
03/06/17: Fainali (National Stadium of Wales, Cardiff)

Post a Comment