KLOPP AICHAMBUA LIVERPOOL
KOCHA WA LIVERPOOL JURGEN KLOPP |
Kocha wa majogoo wa jiji la liverpool Jurgen klop ameichambua kikosi chake na kutaka wadau na mashabiki wa timu hiyo pamoja na wachambuzi kuacha kufananisha liverpool ya sasa na vikosi vya liverpool vya miaka mitatu,kumi au ishirini na tano iliyopita,hii ni liverpool mpya lazima tujue hili alisisitiza klop
kwa sasa tupo kileleni mwa msimamo wa ligi,tujikite kwenye jukumu lililopo mbele yetu kuhakikisha timu inafanya vizurina tusahau historia yetu,liverpool inaonekana kungara kwa stairi yao ya ushambuliaje baada ya kuifungawatford goli sita kwa moja na kuongoza ligi kwa mara ya kwanza baada ya kufanya hivyo mara ya mwisho MAY 24
liverpool imejikusanyia pointi 26 baada ya kucheza 11 na kufunga magoli 30 ikiwa ni timu iliyofunga magoli mengi zaidi kwa msimu huu,matokeo yetu ni mazuri kwa msimu huu ila isije ikatokea kutuvimbisha kichwa na kubadili tabia klatika vyumba yvya kubadilishia nguo lazima tuangalie ubora wa timu pinzani kama arsernal,manchester city,totenham na manchester united
KIKOSI CHA LIVERPOOL |
Post a Comment