Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

ALEX MSAMA AVIKUMBUKA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM

msa5
Bw. Alex Msama akikabidhi msaada wa chakula kwa Bi.Zainab Bakari mlezi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Maunga Yatima Centre kilichopo Kinondoni jijini Dar es salaam wakati alipotembelea kituoni hapo na kuzungumza na watoto, Msama aligawa chakula pia katika vituo vya Honorata Temeke, Shifaa Bunju na Mwandalio kilichopo Temeke Vetenary vyote vya jijini Dar es salaam
msa1
Bw. Alex Msama akikabidhi msaada wa chakula kwa kituo cha Honorata Temeke.
msa2 msa3
Bw. Alex Msama akikabidhi msaada wa chakula kwakituo cha Shifaa Bunju.
msa4 
Bw. Alex Msama akikabidhi msaada wa chakula kwakituo cha Mwandalio cha Vetenary Temeke.

No comments

Powered by Blogger.