LIVERPOOL HAISHIKIKI ANFIELD
Kuelekea mpambano kati ya liverpool na stoke city rekodi inaonesha liverpool ningumu kufungika ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani.
Katika michezo kumi na tano ya ligi ya uingereza liverpool imeshinda mechi tisa na sare mechi sita hivyo kutoa wakati mgumu kwa kikosi cha stoke city katika mtanange baina ya timu hizi siku ya leo.
![]() |
| liverpool |

Post a Comment