Aunty Ezekiel ndani ya filamu mpya ya " Christmas Eve"
Nyota huyo kwa kushirikiana na vipaji vingine wametuletea filamu mpya ya "Christmas Eve"
“Usiamini kila kitu unachokiona au kusikia.. Kwasababu kila hadithi Ina pande Tatu yao, yako, Na ukweli,. Christmas eve bonge LA movie iko mtaanii now . Go get ur og copy,” ameandika aunty ezekiel kwenye Instagram.

Post a Comment