BALLON D"OR 2016 YAENDA KWA RONALDO
Akiitimisha mwaka 2016 kwa mafanikio baada ya kubeba kombe la klabu bingwa ulaya,kombe la mataifa ulaya,Mshambuliaji wa kimataifa wa ureno na klabu ya real madrid christiano Rinaldo Jana alitangazwa mshindi Wa tuzo za French ballon d"or kwa mwaka 2016
Kwa maneno yako ronaldo anasema hakuwahi kufikiri anaweza kuwa mshindi Wa tuzo hiyo Mara NNE katika maisha yake ya soka,Rinaldo alitoa shukurani kwa wachezaji wenzake kwa michango yao ndani ya klabu na leo(Jana)amefanikiwa kutwaa tuzo hiyo.
Ronaldo ametwaa tuzo ya ballon d"or 2008,2010,2014,2016

Post a Comment