Billboard: Tekno ni miongoni mwa wasanii 10 wakuangaliwa 2017
Nyota huyo kutoka Nigeria aliyefanya vizuri katika mwaka 2016 na nyimboyake ya pana iliyo gusa watuwengi duniani wakiwemo mastaa wakubwa kutoka marekani.
Mtandao wa Billboard umemtaja tekno kuwa ni miongoni mwa wasanii 10 duniani wa kuangaliwa zaidi kwa mwaka 2017.
“Tekno already has a number of hits in Nigeria, and Columbia Records took note, throwing its weight behind this agile, elastic-voiced singer. Tekno’s “Pana,” which has already accumulated more than 13 million views on YouTube and inspired a minor version of a video challenge, is romantic and light on its feet with little more than a nagging guitar line and squirts of bass, everything pegged to a serpentine forward march,” wameandika Billboard.
Wengine walio tajwa katika listi iyo ni Kehlani, Aminé, YFN Lucci, Leela James, Kodie Shane, Princess Nokia, Guordan Banks, Khalid na H.E.R.

Post a Comment