Bodi ya mikopo Elimu ya juu "HESLB" yaja na mbinu mpya january 2017
Bodi ya mikopo nchi imeamua kuja na mbinu ya kuwasaka waajiri sugu
wasio wasilisha makato na majina ya wanafunzi wa mikopo wa bodi hiyo.
Akizungumza na wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam mkulugenzi mtendaji wa bodi hiyo ,Abdul Razaq Badru, amesema bodi inakusudia kuanzia january mosi 2017 kuchapisha sura za wadaiwa sugu walio jinufaisha na mkopo Elimu ya juu.
Amesema ameunda kikosi kitakachoanza kazi january 2, mwaka 2017 kitafanya kazi kwa siku 14 mfululizo
wakipita ofisi moja baada ya nyengine.
![]() |
| HESLB |

Post a Comment