Kuelekea Valentines Day Rihanna amewaletea warembo manukato (perfume) ya kiss by rihanna.
Mwana dada huyo anaefanya muziki wa pop na rnb amepost kupitia mtandao wake wa Instagram muonekano wa manukato hayo na kuandika.“With Valentines Day right around the corner I got something special for
my ladies!! The 3rd part of the “RiRi” trilogy #KISS is finally here….
available at @macys and online at Macys.com
#KISSbyRihanna.”
#KISSbyRihanna.”
![]() |
| Rihanna na unayoyaona ndio manukato ya Kiss by Rihanna |

Post a Comment