 |
| Bendi ya muziki ikiburudisha wageni waalikwa katika sherehe za siku ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na kampuni ya Multchoice Tanzania |
 |
| Afisa masoko wa kampuni ya Multchoice Tanzania, Shumbana walwa akiwakaribisha waandishi na wageni waalikwa waliohudhuria siku ya waandishi wa habari iliyondaliwa na kampuni hiyo |
 |
| Meneja masoko wa kampuni ya Multchoice Tanzania, bwana Alpha Mria mwenye fulana ya bluu akiambatana na bi Irene Paul mwenye fulana nyeupe ambaye pia ni balozi wa kifurushi cha DStv bomba chaneli ya maisha |
 |
| Mkurugenzi wa kampuni ya Mutchoice Tanzania bw, Maharage Chande akiwakaribisha wageni waalikwa katika siku ya vyombo vya habari iliyoandaliwa na kampuni hiyo |
 |
| bw, Maharage Chande mkurigenzi wa kampuni ya Multchoice Tanzania |
 |
| meneja masoko wa kampuni ya Multchoice Tanzania bw, Alpha Mria (kulia) akiwa pamoja na waigizaji wanaigiza katika tamthilia inayoonyeshwa na DStv, katikati pamoja na meneja uhusiano wa kampuni hiyo bw, Jonhson Mshana kushoto |
 |
| baadhi ya waandishi wa habari wakipata vinywaji wakati wa hafla maalumu ya siku ya vyombo vya habari iliyoandaliwa na kampuni ya Mutchoice Tanzania |
 |
| baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa habari |
 |
| mwandishi wa habari wa blog ya Tanganyika, ( Imani Kelvin Mbaga) akiwa anafuatilia moja ya matukio katika hafla hiyo kwa umakini |
 |
| Maafisa wa Multchoice Tanzania wakipata chakula katika hafla hiyo |
 |
| Waandishi wa habari wakicheza muziki |
 |
| Afisa uhusiano wa kampuni yua Multichoice akiimba muziki katika hafla hiyo |
 |
| Mkurugenzi wa Multchoice akicheza muziki na baadhi ya wafanyakazi na waandishi wa habri |
 |
| meneja wa masoko wa Multchoice Tanzania Alpha Mria akifurahia jambo wakati wa kucheza muziki na wafanyakazi wenzake |
 |
| waandishi wa habari na wafanyakazi wa DStv kwa pamoja wakiwa wanacheza muziki |
 |
| mwandishi wa habari mwandamizi bw, John Bukuku akitoa neno la shukrani kwa niaba ya waandishi waliohudhuria hafla hiyo |
(PICHA ZOTE NA IMANI KELVIN MBAGA, Tanganyika blog)
Post a Comment