 |
| kikundi cha ngoma za kienyeji kutoka mkoani Mbeya kikitumbuiza wakati ya hafla ya makabidhiano ya bendera kati ya wa Waziri wa habari, vijana, michezo, utamaduni na sanaa, mhe, Nape Nnauye na msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul (Diamond platnams) jijini Dar es salaam jana |
 |
| Wasanii toka mkoani Mbeya wakitumbuiza jijini Dar es salaam jana |
 |
| Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul (Diamond Platnums) kushoto akiwa pamoja na kaimu mkurugenzi wa Multchoice Tanzania Salum Salum kulia |
 |
| Waziri Nape Nnauye katikati, akifurahia Jambo pamoja na balozi wa DStv bomba Lucas Nkenda (Joti), Naseeb Abdul (Diamond), na Salum Salum ambaye ni kaimu mkurugenzi wa kampuni ya Multchoice Tanzania |
 |
| Waziri Nape Nnauye akiteta jambo na kaimu mkurugenzi wa Multchoice Tanzania salum Salum |
 |
| Balozi wa kifurushi cha DStv bomba, masanii wa maigizo, Lucas nkenda maarufu kama JOTI akizungumza wakati wa hafla ya kumkabidhi bendera ya taifa msanii wa muziki wa kizazi kipya naseeb Abdul atakaekwenda kutumbuiza wakati wa sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON |
 |
| Waziri wa habari , vijana, utamaduni, sanaa na michezo, Mhe, Nape Nnauye akimpongeza Diamond kwa kuteuliwa kutumbuiza wakati wa sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON huko Gabon |
 |
| Diamond akimshukuru mhe, waziri na Watanzania muda mfupi kabla ya kukabidhiwa bendera ya taifa |
 |
| Diamond Platnums akitoa neno la shukrani mbele ya waandishi (waandishi wa habari hawapo pichani) |
 |
| makabidhiano ya bendera yakifanyika |
 |
| Makabidhiano ya bendera yaliyofanyika jana jijini Dar esalaam |
 |
| wasanii wa tanzania JOTI na Diamond wakiwa pamoja na Waziri nape |
 |
| Diamond baada ya kukabidhiwa bendera |
 |
| Diamond na bendera ya taifa |
 |
| Diamond platnums |
|
|
|
|
(PICHA ZOTE NA IMANI KELVIN MBAGA, Tanganyika blog)
Post a Comment