DK SHEIN AONGOZA SEMINA YA VIONGOZI MBALI MBALI KUHUSU TAKWIMU ZANZIBAR
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja
vya Ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja leo katika
semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake,[Picha na
Ikulu.] 01 /02/2017.
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Siku
moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Viongozi wa serikali walioshiriki katika Semina ya Siku

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akifungua
semina ya siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na Utekelezaji wake kwa
Viongozi mbali mbali katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi
Mnazi Mmoja leo,(kushoto) Makamo wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid yahya Mzee
(kulia).[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Bibi
Mayasa Mahfoudh Mwinyi alipokuwa akitoa Muhtasari wa Majukumu ya Ofisi
ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali katika Upatikanaji wa Takwimu na
Utekelezaji wake katika semina ya viongozi iliyofanyika leo katika
ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
01/02/2017.
Viongozi wa serikali walioshiriki katika Semina ya Siku
moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo
na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed alipokuwa akitoa mchango wake
katika semina ya siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na Utekelezaji wake
kwa Viongozi mbali mbali wa Serikali iliyofanyika leo katika Ukumbi
wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,[Picha na Ikulu.] 01
/02/2017.
Post a Comment