Kamanda wa polisi kitengo cha usalama barabarani ,MOHAMED MPINGA, amesema vifo vitokanavyo na ajali za barabarani takribani 453 na majeruhi 398 husababishwa na ukosefu wa miundo mbinu. 07:11 Mpinga ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam wakati akihitimisha semina ya kudhibiti ajali za barabarani...Read More