ANZA SIKU YAKO VIZURI NA SIFONGO YA TANGANYIKA FM ONLINE RADIO KUTOKA DAR ES SALAAM.
Kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa Usikose kusikiliza kipindi cha Sifongo kuanzia saa 3:00 -5:00 asubuhi,Kwa taarifa za kisiasa,kijamii,kiuchumi,kiutamaduni michezo na Burudani kutoka hapa Nyumbani Tanzania na Dunia nzima.
Kumbuka mwenyeji wako ni Joseph Peter{swahiba Judah} hii si ya kukosa unaweza kuisikiliza Tanganyika fm online radio ukiwa popote kwa kubofya link hii hapa http://mixlr.com/tanganyikafm au tembelea www.seetheafrica.com na kwa maelezo zaidi tembelea pia ukurasa wetu wa facebook andikaTanganyikafm Tanzania.
Post a Comment