Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

BREAKING NEWS DIDAS MASABURI AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizotufikia ni kwamba Aliyewahi kuwa Meya wa jiji la Dar es Salaam ambaye pia alikuwa  Mbunge wa Afrika Mashariki, ndg Didas Masaburi amefariki dunia usiku huu hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.

No comments

Powered by Blogger.