Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

BREAKING NEWS.....BONDIA THOMAS MASHALI AFARIKI DUNIA


Taarifa zilizotufikia hivi pende zinasema kuwa Bondia Thomas Mashali amefariki dunia Baada ya kukutwa  usiku wa kuamkia leo na mwili wake kukutwa maeneo ya Kimara, Jijini Dar es salaam.

Akithibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamasumbwi huyo, Bondia Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) amesema Mashali amefikwa na umauti huo usiku wa kumkia leo kwa kudaiwa kupigwa mpaka kuuawa na watu wasiojulikana kwa tuhuma za wizi.

endelea kufuatilia tutakufahamisha kwa kina habari hizi......................

No comments

Powered by Blogger.