IKUNGI MARATHON 2016 JUMAMOSI HII
Zikiwa zimepita wiki zaidi ya Tatu za maandalizi na tambo kwa washiriki Wa riadhaa Wa mbio za urefu Wa km 42,ile siku ya kumaliza tambo za washiriki umewadia ni jumamosi hii ya tarehe 29-10-2014
Mbio hizi zinataraji kuanzia katika shule ya sekondari ya Munkinya na kuishia katika shule ikungi sekondari iliyopo katika wilaya ya ikungi mkoani singidambio hizi zinataraji kuanza SAA moja asubuhi.
Akizungumza na mwandishi Wa blogu ya tanganyika radio mratibu Wa mashindano hayo Mathias canal alisema maandalizi yote yako tayari na zawadi za washiriki zimeshaandariwa na sasa kazi imebaki kwa washiriki katika kuoneshana uwezo.
Bwana Mathis canal alisema washiriki wenye umri kati ya miaka 17 mpaka 30 na kauli mbio ya mbio hizo ni riadha kwetu ni kazi na maisha.

Post a Comment