Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

MPIGIE KURA RAIS WETU DKT JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA TUZO YA WATU MASHUHURI DUNIANI



Rais wetu Dkt  John Pombe Magufuli kachaguliwa na FOBES kushindania Tuzo ya Mtu mashuhuri wa Mwaka 2016 Africa!Tumpigie kura kwa wingi ili iatangaze Nchi yetu Duniani Kote,

unaweza bofya link chini halafu angalia jina  gonga utakuwa umesha piga kura.uzalendo kwanza http://poy2016.com.

1 comment:

  1. ni kiongozi mashuhuri lakini mm naona hata hizo kura azikatae ili aendelee na kazi yake ya kutumbua majipu tu maana hakuna namna

    ReplyDelete

Powered by Blogger.