TAARIFA HIZI SI ZA KWELI PUUZIA
Kuna taarifa inasambazwa katika mitandano mbalimbali ya kijamii leo hii ikidaiwa imetolewa na kitengo cha Mawasiliano, IKULU
Kama inavyoelezwa hapo juu, taarifa hiyo si ya ukweli. Mnaombwa muipuuze. Ni taarifa iliotengenezwa na baadhi ya watu wenye nia ovu ya kupotosha ukweli. Hivyo mnaombwa kuipuuza.
Post a Comment