Mesut Ozil moja ya wachezaji wakali duniani ubora wake ulidhihirika katika michuano ya kombe la dunia pale alipoonesha umahiri mkubwa na hapa ndipo Real Madri wakaona umuhimu.
Mwaka 2010 ndipo akatoka Werde Bremen na kujiunga Madrid. Kwa kauli yake kutoka kinywani anasema kuwa alipenda timu hiyo wakati anafundisha Jose Mourinho.
|
Mesut Ozil |
Ozil amezidi kufunguka kuwa Ronaldo ndio mchezaji bora kwa sayari hii, wakati yuko Werder Bremen amefunga magoli 13 katika mechi 71 wakati Madrid amecheza michezo 105 amefunga magoli 19 huku Arsenal amecheza michezo 88 tayari ametupia magoli 18.
Post a Comment