MAKONDA ATEMBELEA UJENZI WA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO CHANIKA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa hospital ya mama na mtoto katika eneo la chanika wilayani temeke,hospitali hiyo inajengwa kwa msaada wa shirika la maendeleo la watu wa korea KOIKA kwa ushirikiano na serikali ya mkoa wa dar es salaam.
mkuu wa mkoa alieonekana kuridhishwa na ujenzi wa hospitali hiyo alisema serikali ya mkoa wa dar es salaam imedhamilia kupunguza tatizo la msongamano wa mama na mtoto katika hospital zilizopo katika mkoa wa dar es salam
hopsitali hiyo inatarajiwa kuwa na uwezo wa kuwa na vitanda mia moja na sitini,vumba viwili vya upasuaji kila chumba kitakuwa na vitanda viwili vya kufanyia upasuaji.
ujenzi wa hospitali nhiyo utagharimu shilingi bilioni nane na milioni mia nane,jiwe la msingi liliwekwa mnamo mwezi march 2016
![]() |
PAUL MAKONDA |

Post a Comment