TAARIFA TOKA OFISI YA WAZIRI MKUU
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Waziri Mkuu
inapenda kuwatangazia Umma wa Watanzania pamoja na Wadau wake wote kwa
ujumla kwamba, kuanzia Tarehe 1/2/2017
Anuani ya Ofisi ya Waziri Mkuu itakayo tumika ni S.L.P.
980 DODOMA na SIMU: 026 2322480 Barua pepe: ps@pmo.go.tz. Badala ya
Anuani ya sasa Ambayo ni S.L.P 3021 DSM.
Hii ni kutokana na Viongozi na Watendaji Wakuu
wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuhamia Makao
Makuu ya Serikali Dodoma.
Karibuni Dodoma
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI
OFISI YA WAZIRI MKUU
31/1/2017
Post a Comment