MAJALIWA AMTEMBELEA MALECELA DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomtembelea
nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma Februari 1, 2017. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomtembelea
nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma Februari 1, 2017. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomtembelea
nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma Februari 1, 2017. baada ya
kuzungumza naye (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment