Your Business Looks Here

Your Business Looks Here
tupo kwenye tathimini ya mwaka radio itarudi hewani kuanzia tarehe 25

MOSES JOSEPH MACHALI AJIUNGA CCM


Katika kile alichokiita kuunga mkono kwa vitendo jitihada za Rais MAGUFULI, aliekuwa mbuge kutoka mkoa Wa kigoma kupitia chama cha NCCR MAGEUZI na baadae kujiunga na chama cha ACT WAZALENDO Bwana MOSES JOSEPH MACHALI ameamua kujiunga na CHAM A CHA MAPINDUZI
kupitia walaka wake Wa KUTOKA MEZANI KWANGU Bw.MACHALI ameandika kuwa akijaribu kuangalia siasa alizokuwa inafanya akiwa bungeni kupitia chama cha NCCR na anachokifanya sasa hivi Mh MAGUFULI vinashabiana hivyo kuamua kumuunga mkono kwa vitendo na kujiunga na CCM kutoka leo





No comments

Powered by Blogger.